23 March 2017
how to get benefit from using aloe vera product from NiaTV distributor and educator
Business Contact: +255 (0) 752331502, +255 (0) 655251502
09 March 2017
Matumizi na faida ya kutumia asali
MDALASINI NA ASALI
Asali
inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika
kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee. Sasa hivi, utafiti
mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama
itachanganywa na mdalasini wa kawaida.
Uchunguzi
wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa
madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe,
imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini
pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.
Subscribe to:
Posts (Atom)